Siku ya wanawake duniani yaani tarehe 08/03/2018, kikundi cha COFAPS tulifanikiwa kutembelea shule ya wanawake SAMARITAN girls iliyopo wilaya ya mbeya kwaajili ya kuongea na wanafunzi kuhusu maono ya kielimu ( vision on academic excellence)
na jinsi ya kufanikiwa katika maisha na kua mwanamke wa thamani ( A WOMEN OF VALUE).
No comments:
Post a Comment