Monday, 5 March 2018

ZIARA YA COFAPS SHULE YA USONGWE HIGH SCHOOL. KUONGEA NA WANAFUNZI WA WA KIKE, KIDATO CHA TANO. tar 28/02/2018

We are Pasionate about Young Generation...
..Tukiwekeza nguvu nyingi kwao na kwenye elimu yao Tutatengeneza Taifa la watu wanaojitambua na taifa letu litasonga mbele sana!! ELIMU NDO KITU KITAKACHOLITOA TAIFA LETU KWENYE UMASIKINI KUPITIA HAWA VIJANA!!

Let's Invest to Young Generation!!

Lazima tufike mahali tutengeneze taifa la wanawake wa thamani, yaani WOMEN OF VALUE. Tubadilishe mtazamo wa wanafunzi wakike, wawe na ndoto za kuja kuwa watu wakuu tangu wakiwa shuleni na waendelee kupigania ndoto zao mapema.

COFAPS tulifanikiwa kwende kuongea na wanafunzi wa kidato cha tano katika shule ya secondary usongwe iliyopo wilaya ya mbeya. Mada iliyoongelewa ni kuhusu mambo gani mwanafunzi wakike afanye ilikua Mtu mkuu katika jamii (Person of Value)



No comments:

Post a Comment