
COFAPS katika kuendelea na shughuri zake za kufanya uhamasishaji wa wanafunzi kuhusu mafanikio ya kielimu (Inspiration and motivation in academic excellence) tulifanikiwa kufika katika shule
ya Maranatha na kuongea na wanafunzi kuhusu mafanikio ya kielimu. Ilikuwajenga waje kuwa watu wakuu, watu wathamani, Watu watakaoacha alama duniani, watu ambao jamii itanufaika kupitia wao. (To be a person of Value)
Tulifanikiwa kuongea na wanafunzi kuhusu mambo makuu mawili
1. Vision in general
2. Academic vision
Program ilianza saa 1:00 usiku na kuisha saa 2:30 usiku




APPRECIATE
ReplyDelete