"The purpose of life is not to be happy. It is to be useful, to be honorable, to be compassionate, to have it make some difference that you have lived and lived well.To do more for the world than the world does for you, that is success"
COFAPS katika kuendelea na ziara yetu ya kufanya inspiration and motivation katika shule za sekondari wilaya ya mbeya tulihamasisha wanafunzi kufanya vizuri kimasomo pamoja na kuwaelekeza wanafunzi kuwa njia gani wafanye ilikufanikiwa katika masomo yao
. siku ya tarehe 13/02/2018 tulifanikiwa kutembelea shule ya IWINDI secondary iliyopo wilaya ya Mbeya na kuongea na wanafunzi kuhusu general vision and academic vision, mwisho tulijadili na wanafunzi kuhusu changamoto zinazowakumba na kusababisha wanafunzi wengi kutofikia malengo yao kielimu.

No comments:
Post a Comment