
COFAPS tunaendelea na ziara ya kuzunguka katika shule za sekondari za wilaya ya mbeya ilikutesaidia na kuhamasisha wanafunzi ilikufikia mafanikio ya kielimu na kuwafanya wanafunzi kuwa watu wenye thamani, watu wakuu wa badae "PERSON OF VALUE"
. tulifanikiwa kuongea na wanafunzi wa shule ya Ilunga kuhusu mafanikio ya kielimu, ikiwa na maana kwamba ni mambo gani ya msingi wanafunzi wayafanye ilikufanikiwa kielimu, maono ya kielimu na maono kwa ujumla. Pamoja na hayo tulifanikiwa kutafuta changamoto zinazowakumba wanafunzi mashuleni na kusababisha matokeo kuwa mabaya.
No comments:
Post a Comment