program ilienda vizuri sana na wanafunzi walifurahia program iyo.
mambo yaliyofanyika ni pamoja na
1. inspiration about vision in general iliongozwa na MC Mwakyusa
2. inspiration about academic excellence iliongozwa na Eng Fadhili Konga
3. utafiti wa changamoto zinazowakumba wanafunzi mashuleni na kusababisha wanafunzi kushindwa kufikia ndoto zao. uliongozwa na Mwl. Obadia Mwangoka
No comments:
Post a Comment