Saturday, 21 April 2018

ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA MBEYA JIJI NA MBEYA HALMASHAURI KATIKA KUTEMBELEA MIRADI YA COFAPS

kikundi cha cofaps kilitembelewa na uongozi wa wa wilaya ya Mbeya Jiji sambamba na Uongozi wa wilaya ya Mbeya Halmashauri kwa lengo la kuangalia Miradi inayofanywa na kikundi cha COFAPS.

Wednesday, 14 March 2018

COFAPS AT KANAMA SECONDARY SCHOOL 9/03/2018






COFAPS AT SAMARITAN GIRL SECONDARY SCHOOL 08/03/2018


Siku ya wanawake duniani yaani tarehe 08/03/2018, kikundi cha COFAPS tulifanikiwa kutembelea shule ya wanawake SAMARITAN girls iliyopo wilaya ya mbeya kwaajili ya kuongea na wanafunzi kuhusu maono ya kielimu ( vision on academic excellence)

Monday, 5 March 2018

ZIARA YA COFAPS SHULE YA USONGWE HIGH SCHOOL. KUONGEA NA WANAFUNZI WA WA KIKE, KIDATO CHA TANO. tar 28/02/2018

We are Pasionate about Young Generation...
..Tukiwekeza nguvu nyingi kwao na kwenye elimu yao Tutatengeneza Taifa la watu wanaojitambua na taifa letu litasonga mbele sana!! ELIMU NDO KITU KITAKACHOLITOA TAIFA LETU KWENYE UMASIKINI KUPITIA HAWA VIJANA!!

ZIARA YA COFAPS KATIKA SHULE YA MARANATHA SECONDARY 22/2/2018

"I really feel that, if your successful, you have to give back, whether it's to charity the community or to education. If you don't give back, you are ever going to be fulfilled in life" by Donald Trump

COFAPS katika kuendelea na shughuri zake za kufanya uhamasishaji wa wanafunzi kuhusu mafanikio ya kielimu (Inspiration and motivation in academic excellence) tulifanikiwa kufika katika shule

Sunday, 4 March 2018

ZIARA YA COFAPS KATIKA SHUE YA IWINDI SEKONDARI

"The purpose of life is not to be happy. It is to be useful, to be honorable, to be compassionate, to have it make some difference that you have lived and lived well.To do more for the world than the world does for you, that is success" 



COFAPS katika kuendelea na ziara yetu ya kufanya inspiration and motivation katika shule za sekondari wilaya ya mbeya tulihamasisha wanafunzi kufanya vizuri kimasomo pamoja na kuwaelekeza wanafunzi kuwa njia gani wafanye ilikufanikiwa katika masomo yao